14 Oct 2025 10:15 am | Citizen TV 240 views Duration: 1:41 Viongozi wa dini kutoka mji wa Garissa wametaushwa na ongezeko la visa vya utovu wa usalama mjini humo ambao unaonekana kuzidi katika siku za hivi karibuni.