USALAMA WA TAIFA
Viongozi wa dini ya kikiristo kutoka Mpeketoni, Kaunti ya Lamu, wameibua wasiwasi kufuatia hali ya ukosefu wa usalama inayoendelea nchini, wakionya kuwa ongezeko la joto la kisiasa litavuruga amani huku uchaguzi mkuu wa mwaka 2027 ukikaribia.
#KurunziMashinani
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive