- 348 viewsDuration: 2:54Baadhi ya viongozi wa Kaunti ya Embu wameeleza wasiwasi wao kuhusu ongezeko la visa vya magenge yanayotumiwa kisiasa, wakionya kuwa vitendo vya vurugu na vitisho vinaweza kuhatarisha mchakato wa kidemokrasia nchini. Wakizungumza huko Karurumo, viongozi hao walizitaka idara za usalama kuchukua hatua kali dhidi ya wanaofadhili wahunui hao.