- 17,241 viewsDuration: 28:11Viongozi wa mataifa yenye uchumi mkubwa zaidi duniani ya G7 wamekutana nchini Ufaransa, huku wakitoa kipaumbele kwa vita vya Ukraine na Urusi. Rais wa Marekani Donald Trump anatarajiwa kupata shinikizo la kufikiria upya mbinu yake ya vita vya Ukraine, pamoja na kuishinikiza Moscow kukubali mpango wa amani kulingana na masharti ya Kyiv. Wakati huo huo, Uingereza imetangaza hatua zinazolenga kukwamisha Urusi katika vita dhidi ya Ukraine #G7 #Trump #Putin #Zelensky #Macron #bbcswahili #ruto Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw