Viongozi wa jamii ya waluhya wataka vyeo zaidi serikalini

  • | Citizen TV
    901 views

    Viongozi wa jamii ya waluhya wanahudhuria mkutano wa pamoja wa kushinikiza uwakilishi zaidi wa jamii Kwenye mkutano huo unaohudhuriwa na gavana wa Transnzoia George Natembeya, Katibu Mkuu wa UDA Cleophas Malala na aliyekuwa waziri Rashid Echesa, viongozi hao wanasema kuwa hawajafurahishw ana uongozi wa sasa wa jamii hiyo