Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa Kanisa Katoliki wataka maadili ya kidini yaimarishwe shuleni

  • | Citizen TV
    446 views
    Duration: 2:16
    Viongozi wa Kanisa Katoliki kaunti ya Kajiado pamoja na wadau wa elimu nchini sasa wamezitaka taasisi za elimu kuwalea wanafunzi kwa misingi ya kidini. Wakisema msingi huo utasaidia kurejesha nidhamu na maadili ambayo yamekuwa yakiporomoka shuleni.