17 Jul 2026 10:20 am | Citizen TV 283 views Duration: 2:11 Makanisa yaliyo chini ya mwavuli wa baraza la Kitaifa la Makanisa nchini (NCCK) yavitaka viongozi wa dini kote nchini kuhakikisha makanisa hayatumiki kama majukwaa ya kuendeleza siasa za chuki, vurugu na ghasia.