Viongozi wa kaunti ya Machakos wamemshtumu Waziri Kuria kuhusu ardhi ya Portland Cement

  • | Citizen TV
    2,301 views

    Viongozi wa Kaunti ya Machakos wamesthumu matamshi ya Waziri wa biashara na Viwanda Moses Kuria ya kutaka kuwafurusha watu wanaoishi katika shamba linalopakana na kampuni ya saruji ya Portland. Kiongozi wa chama Cha wiper Kalonzo Musyoka ametishia kuongoza maandamano kupinga hatua hiyo na kumtaka Rais William Ruto aingilie kati. Na Kama anavyotuarifu Serfine Achieng'wakaazi hao wanadai haki wakipinga kufurushwa kwa ardhi Yao.