Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa Kenya Kwanza waendelea kukashifu matamshi ya Gachagua Nyandarua

  • | Citizen TV
    3,166 views
    Duration: 3:29
    Viongozi wa Kenya Kwanza wameendelea kukashifu matamshi ya kinara wa chama cha DCP Rigathi Gachagua na viongozi wanaomuunga mkono wakisema walimkosea heshima Rais William Ruto na ofisi yake wakati wa ibada ya wafu ya aliyekuwa Mbunge wa Ol Kalou David Kiaraho huko Nyandarua. Viongozi hao wamemtaka Gachagua kukomesha cheche wanazozitaja kuwa za kikabila na kumwacha Rais Ruto afanye kazi yake.