14 Sep 2026 1:26 pm | Citizen TV 1,006 views Duration: 1:51 Viongozi wa Kenya Kwanza wamekosoa matamshi ya Katibu Mkuu wa UDA Hassan Omar kuhusu uchaguzi. Omar alizua mjadala baada ya kusema hata wafu watapiga kura.