- 246 viewsDuration: 1:45Viongozi wa Kanisa la kianglikana dayosisi ya nyanza wameelezea kugadhabishwa kwao na kitendo cha watu binafsi kubomoa na kunyakuwa ardhi ya kanisa katika eneo la Mbita. Akihutubia waandishi wa habari mjini Mbita baada ya kukaguwa uharibifu huo, Askofu mkuu wa dayosisi ya nyanza kusini Simon Onyango ameomba serikali iingilie kati swala Hilo na kuipa kanisa hiyo haki yake. Kulingana na Askofu Mkuu Onyango uharibifu huo ni wa thamani ya shillingi million Hamsini.