Viongozi wa kidini na kisiasa washiriki juhudi za kueneza amani mpakani Pokot Magharibi na Turkana

  • | Citizen TV
    282 views

    Viongozi wa kidini na wa kisiasa katika kaunti ya Pokot Magharibi wameanzisha harakati za kueneza jumbe za amani katika mpaka wa kaunti za Pokot Magharibi na Turkana. Kampeni hiyo ya viongozi inajiri kufuatia ongezeko la visa vya utovu wa usalama katika mpaka huo