Tume ya Kitaifa ya Uwiano na Utangamano NCIC, na baadhi ya viongozi wa kidini kutoka eneo la North Rift, sasa wanatoa wito wa kuanzishwa kwa mazungumzo, kufanyiwa marekebisho kwa masuala ya usalama, na kukomeshwa kwa uchochezi wa kisiasa ili kumaliza migogoro ya muda mrefu inayolikumba eneo hilo.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive