Viongozi wa Kiislamu wakosoa utoaji kiholela leseni za kuhubiri

  • | KBC Video
    14 views

    Viongozi mbali mbali wa Kiislamu wamejitokeza kupinga hatua ya serikali kuwapa vyeti wahubiri ambao hawajahitimu jambo ambalo huenda likachochea visa vya mafunzo yenye itikadi kali za kidini.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channell: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #darubini