Viongozi wa kike waghadhabishwa na ukatili unaoendelea

  • | K24 Video
    7 views

    Viongozi wanawake nchini wakiongozwa na mshauri wa afisi ya rais kuhusu haki za wanawake Harriet Chigai wamekemea vikali ukatili wa kijinsia. Viongozi hao sasa wanataka udhibiti wa vyumba vya kukodi kwa muda mfupi maarufu Air bnb pamoja na uwekezaji katika mfumo wa haki za jinai. haya yanajiri huku uchunguzi wa mwili wa Rita Waeni ukibainisha kuwa aliyetekeleza unyama huo alimng'oa baadhi ya kucha ili kuficha ushahidi