Viongozi wa Kisii waandaa mikutano kadhaa kuendeleza wito wa umoja nchini

  • | Citizen TV
    254 views

    Viongozi kutoka eneo la Gusii wanaofungamana na mrengo wa Kenya Kwanza wameendeleza wito wa umoja nchini huku wakisifia manufaa ya kimaendeleo chini ya urais wa William Ruto. Aidha viongozi hao wakijumuisha mawaziri Ezekiel Machogu na Ababu Namwamba wakisifia mipango ya serikali ya Kenya Kwanza.