Viongozi wa Magharibi washauriwa kutengeneza maeneo ya kitamaduni ya jamii za Magharibi

  • | West TV
    77 views
    Ipo haja kwa sehemu maalum za utamaduni kujengwa katika jamii mbalimbali ili kuhakikisha mila za jamii pana ya magharibi zinatunzwa. Haya ni kwa mujibu wa viongozi mbalimbali waliohudhuria maadhimisho ya 44 ya utamaduni wa jamii ya maragoli katika mji wa mbale eneo bunge la vihiga kaunti ya zaidi ya wavulana elfu saba waliopashwa tohara mwaka huu wakipewa jina maalum kulingana na mila za jamii ya maragoli