Viongozi wa majeshi ya SADC wakutana GOMA

  • | VOA Swahili
    1,284 views
    Viongozi wa majeshi ya SADC wakutana Goma kujadili kuongeza nguvu zaidi za kijeshi mashariki mwa Jamhuri la kidemokrasia ya Congo ili kupambana na makundi ya waasi wa M23 ambao ni tishio kwa serikali na wananchi wa DRC. #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.