Viongozi wa ODM Busia waunga mkono mazungumzo

  • | Citizen TV
    2,894 views

    Viongozi wa chama cha ODM katika kaunti ya Busia wanaunga mkono kauli ya kinara wa chama hicho Raila Odinga kuhusu mazungumzo ya kitaifa. Aidha wanamtaka Raila kuhakikisha kuwa malalamishi ya vijana yamechukuliwa kwa uzito kwenye mazungumzo hayo