Viongozi wa ODM tayari kuunga mkono suluhu ya amani kudumu Kenya bila kujihusisha na Kenya Kwanza

  • | NTV Video
    422 views

    Baadhi ya viongozi wa chama cha ODM wakiongozwa na Seneta wa nairobi Edwin Sifuna wametoa wametangaza kuwa chama hicho kiko tayari kuliunga mkono taifa kuleta suluhu ya amani ambayo itadumu huku wakiweka wazi nia yao kuwa si ya kukikoa chama cha Kenya Kwanza ambacho kinaongozwa na Rais William Ruto. Aidha wamesema mabadiliko haya serikali ya Kenya Kwanza yamekubalika na chama hicho iwapo ni ya kuleta manufaa kwa wakenya wote.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntv.nation.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya