- 402 viewsDuration: 1:48Viongozi wa chama cha UDA kutoka pwani wamepiga hoja ya kutenga maeneo na nyadhifa katika uchaguzi mkuu ujao. Wakiongea huko mombasa viongozi hao wamesema kuwa watahakikisha vyama vya uda na odm vinamenyana katika nyadhifa zote pwani wakipuuzilia mbali odm ndio chama kinachoungwa mkono pwani. Spika wa bunge la kitaifa pamoja na katibu wa chama cha uda na viongozi wengine vile vile wametaka chama cha odm kusita kutoa masharti kwa rais william ruto wakisema ushurikiano wa sasa ni kuhakikisha rais amepata muhula wa pili