- 197 viewsDuration: 3:13Viongozi wa kaunti ya Samburu wameitaka jamii ya wafugaji kukumbatia elimu ,kama njia Moja wapo ya kukomesha kadhia ya wizi wa mifugo na Mila zilizopitwa na wakati. Mwanahabari wetu Bonface Barasa anaarifu zaidi kutoka Samburu.