14 Sep 2026 1:28 pm | Citizen TV 536 views Duration: 1:46 Viongozi wa Serikali Mseto wamesema wataungana katika mchakato wa uteuzi wa viongozi. Wamesisitiza umuhimu wa ushirikiano katika kuhakikisha uteuzi huo unafanyika kwa pamoja.