Viongozi wa Taita Taveta waandaa kongamano la kumaliza uhaba wa maji eneo hilo

  • | Citizen TV
    144 views

    Idara ya maji na mazingira kaunti ya Taita-Taveta inaongoza kongamano la maji lililoleta pamoja washikadau wa sekta hiyo ili kutafuta mbinu za kupunguza au kumaliza changamoto za uhaba wa maji kaunti hio.