Viongozi wa Ukambani wakemea uharibifu wakati wa maandamano

  • | K24 Video
    270 views

    Wito umetolewa kwa rais William Ruto kulegeza msimamo na kuzungumza na viongozi wa upinzani kutatua mzozo wa kisiasa nchini. Gavana wa kaunti ya Machakos wavinya ndeti ametoa wito huo kwa Rais Ruto na viongozi wa upinzani wakiongozwa na Raila Odinga kuandaa mazungumzo na kusitisha maandamano ambayo yameonekana kusababisha uharibifu wa mali na watu kupoteza maisha maeneo mbali mbali.