Viongozi wa Ulaya wakutana kujadili vita kati ya Iran na Israel, katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    27,391 views
    Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Ulaya wamekutana na mwenzao wa Iran, Abbas Araghchi, mjini Geneva, katika jitihada za dharura za kutuliza mzozo unaoendelea kati ya Iran na Israel. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw