Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa upinzani wahimiza Wakenya kuungana kumwondoa Rais Ruto katika 2027

  • | Citizen TV
    1,149 views
    Viongozi wa upinzani wamewataka wakenya kuungana ili kumwondoa rais William Ruto katika uchaguzi wa 2027. Viongozi hao wamedai serikali imefeli kimaendeleo na imebobea katika ufisadi. Aidha walipuuzilia mbali mpango wa serikali kupunguza makato ya ushuru wa mishahara kama kuwapumbaza wakenya