- 1,387 viewsDuration: 1:38Viongozi wa upinzani wameitaka serikali kuangazia upya fidia ya waathiriwa wa maandamano wakitaka wafidiwe kwa ukamilifu. kadhalika wameikosoa serikali wkaidai imeshidwa kukabiliana na gharama ya juu ya maisha. viongozi hao wamezunguma kwenye mikutano ya kisiasa katika kaunti ya kwale.