- 2,522 viewsDuration: 2:53Viongozi wa upinzani sasa wanamtaka rais william ruto na serikali yake kuangalia upya fidia ya waathiriwa wa maandamaano. Wakizungumza huko kwale viongozi hao wanasema fidia iliyopendekezwa haiwiani na mateso na mahangaiko waliyopitia waathiriwa hao. Aidha wameishutumu serikali kwa kushindwa kudhibiti gharama ya maisha inayozidi kupanda.