- 4,643 viewsDuration: 2:54Viongozi wa upinzani wakiongozwa na kinara wa DCP Rigathi Gachagua wamewataka wafanyabiashara wa soko la Gikomba kukataa kuhama kutoka soko hilo. Viongozi hawa wakipinga hatua ya kufurusha kwa wafanyabiashara, wakidai njama fiche ya watu fulani kunyakua ardhi hiyo.