Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa Wajir kaskazini wafurahia miradi ya maendeleo

  • | Citizen TV
    376 views
    Duration: 1:04
    Serikali yapongezwa kwa juhudi zake za kuimarisha miundombinu katika eneo la Kaskazini Mashariki, hasa kupitia utekelezaji wa miradi mikubwa ya barabara ilengayo kufungua fursa za maendeleo na kukuza uchumi wa eneo hilo.