2 Oct 2025 10:35 am | Citizen TV 186 views Duration: 1:29 Baadhi ya viongozi Kaunti ya Narok wameahidi kusuluhisha mzozo wa umiliki wa ardhi eneo tata la Angata Barikoi eneo bunge la Emurua Dikirr.