2 Oct 2025 1:51 pm | Citizen TV 291 views Duration: 1:29 Baadhi ya viongozi Kaunti ya Narok wameahidi kusuluhisha mzozo wa umiliki wa ardhi eneo tata la Angata Barikoi eneo bunge la Emurua Dikirr.