- 231 viewsDuration: 1:36Huko Kaunti ya Wajir, viongozi na wakazi wanawahimiza wananchi kujitokeza kwa wingi kuhakikisha kuwa majina yao yapo kwenye sajili ya wapiga kura ikizingatiwa Ukubwa wa Eneo hilo. Viongozi wa jamii wamesema watapanua kampeni za uhamasishaji kupitia misikiti, makanisa na maeneo mengine ya ibada ili kuhakikisha ujumbe unawafikia wananchi wote.