Viongozi wajitwika jukumu la kutuliza mgogoro kwenye mpaka wa Kitui na Tana River

  • | Citizen TV
    262 views

    Baadhi ya viongozi wa kitui wamejitwika jukumu la kutuliza mgogoro kwenye mpaka wa kaunti hiyo na Tanariver.