Viongozi watakiwa kueneza uwiano Lamu

  • | Citizen TV
    350 views

    Wakaazi wa kaunti ya Lamu wakiwemo wanasiasa,wafanyabashara wametakiwa kudumisha uwiano na amani baina yao ili usalama wa lamu uweze kudumu.wito huo umetolewa na shirika la viongozi wa dini mbalimbali nchini ambalo linasema kuna haja ya usalama wa Lamu kuimarika ili maendeleo yaafikiwe.