Skip to main content
Skip to main content

Viongozi watoa wito wa amani kufuatia machafuko Kitui

  • | Citizen TV
    5,048 views
    Duration: 3:29
    Viongozi kutoka maeneo ya kaskazini mashariki wamekashifu vikali machafuko yanayoendelea eneo la Mwingi, na kutaka asasi za usalama kuwajibika na kuimarisha doria. Kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka ameongoza viongozi wengine kuwarai wakazi kusitisha mapigano akisema kuwa ulipishaji kisasi hautasaidia. Haya ni huku Baraza la viongozi wa dini ya kiislamu -SUPKEM- inawanyoshea kidole cha lawama baadhi ya viongozi kwa kuchochea vita hivyo na kupinga madai kuwa ni vita kati ya wafugaji na wakulima