Skip to main content
Skip to main content

Viongpozi wa dini chini ya mwavuli wa NCCK kaunti ya Trans Nzoia wataka wakenya kudumisha amani

  • | Citizen TV
    252 views
    Duration: 1:58
    Viongozi wa kidini chini ya mwavuli wa NCCK kaunti ya Trans Nzoia waelezea wasiwasi wao kuhusu ukosefu wa mikakati madhubuti ya kukabiliana na magenge ya wahuni katika mikutano ya kisiasa.