7 Oct 2025 10:42 am | Citizen TV 183 views Duration: 1:41 Visa vya dhuluma za kijinsia vimeripotiwa kuongezeka kwa hali ya kutisha katika kaunti ya Nyeri ambapo visa vya kujitoa uhai haswa kwa wanaume na ubakaji wa watoto na wakongwe vikiongezeka kila siku.