Visa vya unyakuzi wa ardhi vyatamausha wawekezaji Malindi

  • | Citizen TV
    188 views

    Unyakuzi wa ardhi unaokithiri umetajwa kuwa kikwazo kikubwa kwa wawekezaji katika mji wa Malindi kaunti ya Kilifi