Skip to main content
Skip to main content

Visa vya wasichana kuozwa wadogo vimezidi Loiyangalani

  • | Citizen TV
    693 views
    Duration: 3:11
    Ndoa za utotoni zikizidi kuzima ndoto za wasichana wafugaji katika eneo la Loiyangalani kaunti ya Marsabit, mama mmoja ameanza kampeni kuzuia kuongezeka kwa visa hivi. Nakidor Moru, ambaye mwenyewe ni muathiriwa wa ndoa za utotoni na ambaye kwa sasa ni balozi wa kujitolea amekata kauli kuendeleza hamasisho ya kukomesha mila hiyo katika jamii yake. Hata hivyo Nakidor,amekiri mchakato huo unayumbishwa na pingamizi za jamii yake inayomuona kama msaliti.