Visa vya watoto kutelekezwa katika kaunti ya Busia vyaongezeka

  • | Citizen TV
    521 views

    Visa vya watoto kutelekezwa katika kaunti ya Busia vimefikia asilimia 59, huku asilimia 55 ya watoto wasiokwenda shuleni ikiajiriwa.haya ni kwa mujibu wa utafiti wa shirika la kulinda haki za watoto.