Skip to main content
Skip to main content

Vita dhidi ya mihadarati

  • | Citizen TV
    193 views
    Duration: 1:29
    Mkurugenzi wa idara ya uchunguzi wa makosa ya jinai DCI mohammed amin amesema asilimia 98 ya dawa za kulevya ambazo zimenaswa kutoka januari hadi machi mwaka huu zilikuwa bhangi, akisisitiza kwamba idara hiyo imeongeza idadi ya maafisa wa kikosi maalum cha kukabiliana na pombe haramu na dawa za kulevya ili kukabiliana na jinamizi hilo