- 32,033 viewsDuration: 28:11Watanzania 236 wamerejea nyumbani kwa ndege maalumu ya shirika la Tanzania baada ya kukwama Dubai kwa muda kutokana na vita vinavyondelea vya Marekani na Israel dhidi ya Iran. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw