Skip to main content
Skip to main content

Vita vya mashariki ya kati vyazidi kupamba moto. Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    24,678 views
    Duration: 28:10
    Jeshi la Marekani limethibitisha kuwa watu sita wamefariki baada ya ndege ya mafuta kuanguka magharibi mwa Iraq. Waziri wa ulinzi wa Marekani Pete Hegseth amesema Marekani "imeangamiza wajeshi wa utawala wa Iran wenye msimamo mkali, kwa njia ambayo dunia haijawahi kuiona". Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw