Skip to main content
Skip to main content

Vita vya mbolea ‘kuheshimu miungu’

  • | BBC Swahili
    7,887 views
    Duration: 59s
    Je, umewahi kusikia kuhusu vita vya samadi/mbolea ya ng’ombe? Waumini wa Kihindu katika kijiji cha Gummatapura, India, Wanaamini, “mungu wao yumo ndani ya samadi.” Na kuwa samadi ya ng’ombe ina nguvu za kuponya magonjwa na huwaletea baraka. Hivyo wao huandaa tamasha la vita vya samadi kila mwaka wakisherehekea mwisho wa sikukuu ya Diwali, Sherehe hii ya kipekee inayofahamika kama Gorehabba, huandaliwa kumheshimu ‘mungu’ wao aitwaye Beereshwara @mrs.tadicha - - #bbcswahili #india #imani