Vitengo vya usalama vyachunguza mashirika ya kijamii yanayotuhumiwa kuendeleza ugaidi jijini Mombasa

  • | Citizen TV
    428 views

    Vitengo vya usalama nchini vinachunguza mashirika ya kijamii yanayotuhumiwa kuendeleza ugaidi na ajenda potovu miongoni mwa jamii.