- 3,349 viewsDuration: 2:31Wakati wengi wakiona vitunguu na tangawizi kama viungo vya chakula tu, binti mmoja nchini Rwanda, Mutoni Goodluck, aliviona kama fursa ya kujenga biashara ya uzalishaji wa mafuta ya nywele ya asili. Mwandishi wa BBC Yves Bucyana alikwenda kumtembelea ili kujifunza zaidi kuhusu safari yake. Mutoni, ambaye ameshinda tuzo ya teknolojia ya kilimo, ameendelea kukuza biashara yake kutoka kwenye mashamba ya vijijini hadi kutumia mitambo ya kisasa ya uzalishaji Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw