- 3,665 viewsDuration: 10:41Kabla ya Vladimir Putin kuongoza Urusi zaidi ya miaka 25 iliyopita, alikuwa ni mtu asiyefahamika. Hivi sasa, amekuwa kiongozi mwenye mwelekeo wa kiimla zaidi na maamuzi yake kama vile kuivamia Ukraine, yameunda taswira hiyo ya kiimla katika jukwaa la kimataifa. Mengi tunayoyajua kuhusu maisha yake kabla ya Kremlin yanatokana na simulizi ambazo amekuwa akizisimulia mara kwa mara yeye mwenyewe. Masimulizi haya yanaanzia utoto wakati alipokuwa anafukuza panya hadi kwenye safari iliyomuingiza kwenye siasa. Tunachunguza miaka yake ya awali na kile inachotufundisha kuhusu uongozi wake. Chapters: 00:00:00 - 00:00:43 Safari ya Vladmir Putin 00:00:44 - 00:01:51 Putin alikulia wapi? 00:01:52 - 00:02:32 Alichojifunza wakati wa kuwinda panya akiwa mtoto 00:02:33 - 00:03:07 Putin alijiungaje na KGB? 00:03:08 - 00:05:20 Kuanguka kwa Umoja wa Kisovieti 00:05:21 - 00:07:07 Kuwa Naibu wa Anatoly Sobchak St. Petersburg 00:07:08 - 00:07:55 Ukaribu zaidi na Boris Yeltsin Moscow 00:07:56 - 00:09:00 Tunajifunza nini kuhusu kiongozi wa Kremlin? Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw