VOA Mitaani: Uamuzi wa Mahakama Kuu Kenya waibua hisia mseto

  • | VOA Swahili
    320 views
    Ungana na mwandishi wetu wa Mombasa akikuletea maoni ya wananchi kuhusiana na uamuzi uliyotolewa na Mahakama Kuu kuhusu suala tata la ndoa ambalo limeendelea kuibua hisia mseto nchini Kenya. #mwandishi #mombasa #kenya #maoni #wananchi #mahakamakuu #ndoa #hisia #voa #voaswahili #dunianileo #voamitaani - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.